Miss TZ 2010 Bi Genevieve Mpangala akiwa na Afisa Itifaki Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bw. Albert Makoye (kushoto), na mpambe wa Miss TZ Bi. Zakhia Ally (Kulia) wakisubiri mara tu baada ya kuwasili katika hoteli ya Victorious Perch mjini Bukoba leo, tayari kuanza ziara ya kikazi ya mkoa wa Kagera ambapo atatembelea vituo vya watoto yatima vya Uyacho na Nusuru yatima vilivyoko katika manispaa ya Bukoba. Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2011

    'NYEGERA KAISIKI"..NYEGERA AKAMWANI...NYEGERA AKASENENE...Dada 'Jene' chonde chonde usisahau kutembelea gulio la Katerero.Ni kila Jumatano na Jumamosi..Dak 20 tu kutoka Bukoba mjini,barabara-Lami.Tafadhali sana.

    David Villa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...