
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akizindua mpango wa kutokemeza malaria wa Tanzania Tourism Unites Against Malaria usiku wa kuamkia leo hoteli ya Movenpik jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Maimuna Tarishi akiwa meza kuu na viongozi wengine wadau wa mpango huo kabambe. Picha na John Bukuku wa Full Shangwe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...