
Marehemu Chrisostom Bakuza
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO YA MPENDWA WETU CHRISOSTOM BAKUZA KILICHOTOKEA TAREHE 06 MEI 2011 KATIKA HOSPITALI YA BURHAN SAA 4 USIKU. MAREHEMU ALIZIKWA TAREHE 10/05/2011 HUKO BUKOBA.
DAIMA TUTAKUKUMBUKA KWA MNAMNA YA KIPEKEE JINSI ULIVYOSHIRIKIANA NASI KATIZA SHUGHULI MBALIMBALI KWENYE SEKTA YA BIMA KWA UJUMLA WAKATI WA UHAI WAKO.
MPENDWA WETU ULALE MAHALI PEMA PEPONI.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...