Marehemu Mazembe Joseph Nyerere

JUMUIYA YA BURITO NA KOO RAFIKI (JUBUKORA) inasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao MAZEMBE JOSEPH NYERERE kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika Hoapitali ya Taifa Muhimbili. Mipango ya mazishi inaaadaliwa jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2011

    Rest In Peace, Super Mazembe!!!

    I still remember you well from the days at St. Constantine School, Arusha, back in the early to mid 80's.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2011

    Rest in peace my Brother,
    Tumekuwa wote skul pale Lake Secondary Mwanza Those days.
    Kwa Teacher Magadulla na Father De' Souz. oh tangulia my brother.pole kwa ndugu wote,tupo pamoja.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2011

    Rest in Peace, Brother.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2011

    R.I.P home boy!

    ReplyDelete
  5. Poleni wanafamilia. Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. AMEN.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 18, 2011

    R.I.P BTM home boy.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2011

    RIP MY PRESIDAA (CBE DSM)

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2011

    poleni wanafamilia, nakukumbuka sana mazembe, umetutangulia mpendwa jina la bwana lihimidiwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...