Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Alex Mwita akimkabidhi zawadi, Bi. Domina Katunzi muuguzi mkuu mstaafu wa mkoa wa Kagera wakati wa sherehe iliyioandaliwa na chama cha wauguzi mkoani kagera (TANA) iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Lake inayomilikiwa na chama kikuu cha ushirika mkoani Kagera.
Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba



Hongera sana mama Katunzi...umeacha mfano wa kuigwa kwa ma-nurse na wafanyakazi wote wa idara ya afya mkoani Kagera...kwa uadirifu na uchapaji wako wa kazi...
ReplyDelete