Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Zanzibar,Yussuf Omar Chunda(kushoto) akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mifugo, Utalii Uwezeshaji na Habari, Asha Bakar Makame(Kulia) Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo, Ali Mwinyikai. Kamati hiyo ilitembelea Idara ya Habari MAELEZOFundi Mkuu wa Idara ya Habari(MAELEZO),Mkali Fadhil akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mifugo, Utalii Uwezeshaji na Habari,Asha Bakar Makame (wa kwanza kulia) alipotembelea Ofisi za Idara hiyo, Rahaleo Mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mifugo, Utalii Uwezeshaji na Habari,Asha Bakar Makame(katikati) alipotembelea na Kamati yake katika Ofisi za Idara ya Habari(MAELEZO).Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...