KAKA
Nilikuwa nataka kuuliza, hivi hawa Manchester United wameshapewa penalty ngapi ambazo si za halali tokea Ferguson alipopewa team? Maanake inaonyesha ushindi mwingi wao huo unatoka na kubebwa kupewa penalty za uongo – na hii yote pressure ya ferguson. Ni timu peke inayoanza na timu tatu dhaifu ikianza ligi kwa muda wa miaka mingi. Jee kuna upendeleo huko kwenye chama cha mpira cha uingereza?
Mdau Ughaibuni


INAONEKANA UNAONGEA VITU USIVYOVIJUA KWA TAARIFA YAKO CHELSEA WAMEPEWA PENALTI 8, ARSENAL 7,LIVERPOOL 8, MAN CITY 9 NA MAN UTD 6 PAMOJA NA YA JANA. PLS BRO MICHUZI USIWEKE POST KAMA HIZI BILA KUHAKIKISHA. NA HIYO LINK NAKUWEKEA ILI UPATE UHAKIKA ZAIDI
ReplyDeletehttp://www.football-lineups.com/tourn/FA_Premier_League_2010-2011/Stats/Penalties/
kunya anye kuku tu ,akinya bata????
ReplyDeletenadhani we mdau hujui penalty definition!!!,wachezi wawili wakiwania mpira hutakiwi kumzuia adui, we zuia mpira, ss kipa alikuwa anania ya kwenda kuzui mpira, bahati mbaya akadaka miguu ya chicharito, ss pale huwezi kumpa kadi kipa kwa kuwa hakukusudia, lakini kosa la kudaka miguu liko pale pale. anyway maamuzi huwa yanauma pande zote, terry kaunawa mpira last week man u hawakupewa penalty, au kwa kuwa man u walikuwa wana magoli 2?, chelsea Kalou kafunga goli la offside siku na totenham, chelsea walipewa penalty na man u mechi ya ligi raundi ya kwanza. so mdau huna cha kulalamika bali wapongeze tu man u hehehehehe
Mdau
Chapaulaya-Sweden
Sidhani kama ukipata idadi itakusaidia kubadilisha imani iliyoko akilini mwako. jambo la msingi wewe ni kujua ni mechi ngapi hao Manchester wameshinda bila kupata penalt?
ReplyDeleteMbona hukuja kuuliza hapa mwaka jana Chelsea walishafunga magoli mangapi ya offside(remember Man Utd vs Chelsea..goli la Didier Drogba)
ReplyDeleteMbona hukuja hapa kuuliza hapa wiki zilizopita Chelsea waliposhinda magoli mawili yote ya uongo dhidi ya Tottenham...goli la kwanza mpira haukuvuka mstari wote kama jana mpira uliokuwa unaonekana umetoka kwa Manchester refa akaruhusu kuendelea kwa mchezo..na goli la pili Salomon Kalou alikuwa offside....au upendeleo akipata Man utd..na kama unafatilia statistic msimu huu big decisions nyingi zimekuwa against Man Utd jiulize kwa nini???
Acha wivu wa kike weweee ndo tushabeba kombe we ulitakaje? hakuna timu isyopewa pelanalt iwe ya hali au feki naona unaumwa saaana kama vipi saga chupa unyweee, nahisi wewe utakuwa bwawa la kenge au wale risasi isiyokuwa na bunduki asernal ndo werevu wa kuchonga kuhusu man u, kama vipi pandeni juu muende mkazibeeeee...
ReplyDeleteCHAMPIOOON..., CHAMPIOON..., OLEEE..., OLE.., OLE...,OLE...,OLEEEEEEEEE...,
ANKAL MAKOYE MKUU WA ITIFAKI TUKO PAMOJAA...
MADE IN TORONTO!
MWAKA WETU HUUUUU MTAUMWA SAAAAAAAAAAANA...MAUMIVU YAKIZIDI KUNYWENI PANADOLIII....
ReplyDeleteHE HE HEEEE!!!!!
Na yakizidi sana mumuone Daktari
ReplyDeleteUNITED WE ARE.
ReplyDeleteMBAAZI IKIKOSA MAUA HUSINGIZIA JUA. MVIVU HATA JANGWANI ATATAKA APISHWE NJIA. HOJA MNAZOTOA HAZITABADILI MATOKEO. JIPANGENI KWA MSIMU UJAO.
MDAU
Our biggest problem is that we don't do any research to look for facts before concluding, kwa taarifa yako mtoa mada katika timu nne za juu kwenye English Premier League, Man Utd ndo wamepewa penalti chache kuliko zote, no research no right to speak.
ReplyDeletesema wewe kiazi nikisema mimi muhogo nna mzizi, tungeomba man u wawapongenze marefa kwa kuwasaidia, kama wewe mbishi muulize banitez.
ReplyDeleteNI WAMPAYO TOKA MAISHA UBISHI TBR,ww mdau akili yako ni ndogo ka pilton,man u akipewa penalt unawaka ka moto wa kifuu but ujui team yenye penalty nyingi na man u haipo,angalia mambo yako nasio ya man u,tuache tudake 19 tromphy ambozo never seen in premier ligue,te te te e e
ReplyDeletewe CHAPAULAYA aliounawa mpira alikuwa LAMPARD siyo TERRY.
ReplyDeleteMnaloo BWAWA LA MAINI ! WIVU TU UMEWASHIKA??? SASA NDIO IWEJE ? HATA MMKIPIGA DOMOOO NDIO TUMESHASHINDA SASA SHIDA IKO WAPI???? LENU HILO LIMEWAGANDA NA IPO SIKU MTALITOAAAA HALOOOO MAN U KAZA BUTI ...TIMU YA DUNIA
ReplyDelete