Meneja Mahusiano wa Precision Air,Emilian Rwejuna akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma yao mpya ya ununuzi wa tikeki za ndege zao kwa njia ya mtanda,ambapo sasa mteja anaweza kununua tiketi za shirika hilo kwa kutumia kadi maalum (Creadit Card).Katikati ni Mkurugenzi wa Biashara,Phil Mwakitawa na kulia ni Mkurugenzi wa Maswala Mitandao na Mawasiliano,Gardy Mbala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...