Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga (mwenye track suti nyeusi ) akiwa na viongozi wa Kombe la muungano Mufindi na wadhamini wa mashindano hayo Vodacom pamoja na wachezaji wa Young Star leo uwanja wa shule ya msingi Igowole baada ya kuzindua mashindano ya Vodacom Muungano Cup
Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga akisalimiana na viongozi wa timu ya MuCoba Fc
mashabiki wa Vodacom Muungano Cup wakifuatilia mchezo kati ya Zamaleck na VETA Iringa mchezo uliomalizika kwa Zamaleck kutoka na ushindi wa goli 6-1 dhidi ya VETA
Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga akiwa na wachezaji wa Mucoba FC
DJ KWASA akiwa kazini katika uwanja wa shule ya Msingi Igowole
katika mashindano ya Voda Com Muungano Cup. Picha na Francis Godwin


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...