RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mh. Henry Bellingham (Mb)Waziri wa Uingereza anaeshuhulikia masuala ya Afrika,(katikati) Balozi wa Uingerza nchini Tanzania Mh. Diane Corner baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu-Zanzibar
Home
Unlabelled
Rais Wa Zanzibar Atembelewa na Waziri wa Uingereza Anaeshuhulikia Masuala ya Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...