Maandamano ya siku ya Wauguzi Duniani ya kukumbuka mwasisi wao,
Bibi Florence Nightingale
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh. Abdulaziz Abood ( kulia) akipongezwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, Dk Frida Mokiti ( kati kati) na ( kushoto) ni Dk Lita Lyamuya
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( watatu kulia) akishiriki kula kiapo cha wauguzi Dunian
Wauguzi katika kiapo chao cha utii siku ya Wauguzi Duniani.
Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro


HONGERENI WAUGUZI KWA KUAZIMISHA SIKU YENU.ILA MIMI NAWAASA JUU KUWEPO KWA MADUKA MENGI YA MADAWA AMBAYO RAI WENGI/WATANZANIA WENGI WAKILALAMIKIA KUKOSA DAWA HOSPITALINI NA WAUGUZI MKIWASHAURI WAGONJWA KWENDA KUNUNUA DAWA KATIKA MADUKA YENU YA DAWA.(FANYENI KAZI KWA KUFUATA VIAPO VYENU VYA KAZI.
ReplyDelete