
Ankal,
Assallaam Alleykhum,
Natumai unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku. Nilikua naomba uniwekee hii picha katika blogu yetu ya jamii manake inanikumbusha mbali sana. Hii ni timu ya Spiders ambayo ilipiga kambi pale Gymkhana chini ya kocha wetu mzoefu Mh. Saleh Zonga.
Tulitikisa bongo kwa kiasi fulani lakini timu ilivunjika
kutokana na vijana wengi kwenda nje kusoma!
Amin M. Sinani


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...