Mtangazaji Abdulhakim Busulwa aka Ssebo akiwa na mai waifu wake Tahjir Siu Busulwa kwenye mnuso wa kumeremeta kwao kwenye Hoteli ya Movenpick,jijini Dar.Picha na Unique
Home
Unlabelled
ssebo na tahjir wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongereni Mwenyezimungu azidi kuwapa neema ya mapenzi na awajaalie watoto wema na awaepushe na kila balaa. Michuzi samahani na enda nje ya Mada weka Video hii nimeiona Youtube demu anakipaji na Sketi.
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=QqaoGzgM_G4&feature=player_embedded
Hongera Ssebo. Karibu sana kwenye uwanja wa wapenda nao. Raha ya mapenzi ni ndoa. Furaha ya ndoa ni kuishi wawili. Hongera!
ReplyDeleteMama Bishanga
Cleveland, Ohio
Dear Ssebo & Tahjir
ReplyDeletecongratulations to your wedding!
I wish you both just the very best in your future together.
May you always be happy, always be there for each other and solve all problems together!
You deserve to have sunshine for the rest of your life!
Mayange.
Jina la kwanza la Ssebo si ni Dennis?
ReplyDeleteKwani Maharusi hao kabila gani? Majina yao yamenitoa ushamba hata kutamka.
ReplyDeletecongs boss.. ivan IKOBA
ReplyDelete