Mama mzazi wa mtoto mwenye matatizo ya ulemavu wa miguuRose Augustinio ,Bi Pudensia Augustino akiwa amempakata mwanawe kwenye baiskeli maalumu iliyotolewa na shirika la Green Hope Organization lenye tawi lake mkoani Arushakatika ofisi ya mbunge wa viti maalumu mkoani Arusha (CHADEMA) Mh. Joyce Mukya
Mbunge wa viti maalumu mkoani Arusha kupitia Chadema Mh. Joyce Mukya(kulia) akimpakia mtoto mwenye matatizo ya ulemavu wa mguu,Rose Augustino kwenye baiskeli maalumu yenye thamani ya sh,300,000 iliyotolewa na shirika la Green Hope Organization kwa lengo la kumsaidia kutembea katika ofisi za mbunge huyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...