Kwa niaba ya wanajumuia-Tanzania association Greater manchester,ndugu jamaa na marafiki.Tunasikitika kutangaza kifo cha mtanzania mwenzetu Bi Leyla Omar Rashid (Asha) kilichotokea hapa manchester Uk katika hospitali ya Royal Infirmary usiku wa tarehe 01/05/2011.
Utaratibu wa maandalizi ya mazishi ya marehemu
unaendelea na tutawafahamisha zaidi hivi karibuni.
MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
Tafadhali tumia akaunti ifuatayo kwa mchango wako ili kufanikisha shughuli hii.
Bank:
Natwest
Chorlton-Cum-Hardy Branch
ACCOUNT NO 21148066
SORT CODE 01-01-97
SWIFT CODE:IBAN GB NWBK 0101 9721 1480 66.
NB:kutakuwa na kikao jioni tarehe 04/05/2011
kuanzia saa moja jioni(7PM) katika anwani ifuatayo;
131 Stamford st,
OLD TRAFFORD
MANCHESTER
M16 9LT


INNA LILAHI WAINA ILAYHI RAJIUNNN. POLENI SANA WAFIWA
ReplyDelete