Help send me to volunteer in Tanzania! The rules on voting are that: anyone and EVERYONE can vote by clicking the green YES I LOVE IT button. You can vote every 24 hours, so please encourage others to keep voting every day! Thanks for your support. CLICK HERE
Cassandra Myskiw
Swahili I Student


Michuzi hebu tuwekee Jinsi Jeshi la Kimarekani lilivyokwenda na Kumuua Osama Bin Laden. Usicheze na jeshi la kijasusi.
ReplyDeletewishing you all the Best Cassandra. Karibu sana Tanzania, Tunahitaji watu kama wewe nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Remember "what goes around comes around".
ReplyDeleteAhasnte sana.
Kalenga Boy
Mtoto wa kizungu anataka kuja bongo mpigieni kura ili ashinde shuleni kwao:
ReplyDeletehttp://www.volunteerjournals.com/volunteer-travel-grants/entries/cassandra-changing-world-one-corner-time
Anasoma masomo ya jamii (social work)Kansas City University.Amejitolea anataka kuja kwenye nchi yetu kujifunza jinsi jamii yetu inavyoishi pia safari yake inaweza kusaidia katika ku-advertise nchi yetu kitalii etc.
Brian - Chicago,IL
Karibu sana bibie. Tunawahitaji watu kama ninyi mnaopenda vya kwetu (Kiswahili chetu).
ReplyDeleteIla nimeshindwa kuvote nisaidieni
Hya michuzi hii picha iache inining'inie hapo juu kama siku mbili hivi ili wadau wahamasike kuliko ukiiondoa wat wanasahau fasta, ni hayo tu
ReplyDeleteHuyo ni jasusi tu katumwa aje atutafute undani wetu. Blog ya michuzi kaijuaje? Mbona tayari kiswahili anakijua?
ReplyDeleteWelcome to Tanzania Cassandra. And please do not forget to visit the national parks.
ReplyDelete