
Lady Jay Dee akitambulishwa kwa bosi mkuu wa NMB kabla ya kuanza kutumbiza

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifunua pazia kuashiria uzinduzi wa jengo la Bank House lililokarabatiwa upya na NMB kwa ajili ya huduma bora zaidi

Mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ambayo NMB imetoa kwa hospitali ya saratani ya Ocean road ambako Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dr. Ngoma (wa pili shoto) anapokea toka kwa Waziri Mkuu

Meya wa Manispaa ya Ilala Mstahiki Jerry Silaa akitambulishwa na Shyrose Bhanji kwa bosi wa NMB

Bosi wa Masoko wa NMB Bw. Imani Kajula akibadilishana mawazo na Bi. Shyrose Bhanji, afisa Uhusiano wa NMB. Kwa mapicha zaidi ya hafla hii
Shyrose u look good
ReplyDelete