Afisa Elimu na ufundi wa Halmashauri ya wilaya ya kibaha Ramadhani Luwoga(kushoto)akimshuku ru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon kwa kukabidhi msaada madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4 katika shule ya msingi ya mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani yaliyotolewa na Vodacom Foundation shuleni hapo katikati Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Praygod Mseja.
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation)Grace Lyon akiongea jambo na mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani mara baada ya kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa na Vodacom Foundation.
Wanafunzi wa shule ya msingi mkoani ya wilaya ya kibaha mkoa wa pwani Gift Masawe(kushoto) Issa Kikeni (kulia)wakimwangalia Mtaalamu wa maswala ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akiweka nembo kwenye madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa msaada na Vodacom Foundation shuleni hapo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi mkoani ya wilaya ya kibaha mkoa wa pwani wakibeba moja ya dawati kati ya madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 4 yaliyotolewa msaada na Vodacom Foundation shuleni hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...