Mjumbe wa kamati ya miundombinu  ya Bunge na  Mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Mh. Mnyaa Mohamed Habib, akifafanua jambo kuhusiana na mambo ya mawasiliano wakati walipotembelea makao Makuu ya kampuni ya Vodacom Tanzania yaliyopo mlimani city jijini Dares Salaam.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw. Dietlof Mare akiongea na wajumbe wa kamati ya miundombinu ya Bunge kuhusiana na uendeshaji wa kampuni yake wakati kamati hiyo ilipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo kwa lengo la kuangalia uendeshaji wa mawasiliano katika kampuni hiyo.
  Mwenyekiti wa kamati way a miundombinu ya Bunge na mbunge wa Kigoma mjini Mh. Peter Serukamba  katikati akiongozana na Mkurugenzi wa kitengo cha sheria wa kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Godwin Ngwilimi(kushoto)wakati  kamati ya miundombinu ya Bunge walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo kujuonea namna wanavyoendesha shughuli zao,kulia Meneja wa mambo ya nje na yakiserikali wa Vodacom Tanzania Bi. Nector Foya.
 Mkuu wa kitengo cha uwangalizi wa Mitambo ya Vodacom Tanzania  Bw. Erasto Haule akiwaelezea wana kamati ya miundombinu ya bunge jinsi wanavyoendesha mitambo  1200 Tanzania nzima mara walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo mlimani city jijini Dares Salaam.
  Mjumbe wa kamati ya miundombinu ya Bunge na mbunge wa Lushoto Mh. Henry Daffa Shekifu  akimuuliza swali Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa Vodacom Najenjwa Mbagga(mwenye nyekundu)kuhusiana na huduma za kitengo hicho cha wateja wakati kamati ya miundombinu ya Bunge  walipotembelea makao makuu ya kampuni ya Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...