Watanzania waishio New York Marekani, wakiwa kwenye kisomo cha hitima ya kumuombea marehemu RAHMA MOHAMEDI MSHANGAMA aliye kuwa katibu mkuu wa wizara ya Ustawi wa Jamii,Maendeleo Vijana, wanawake na watoto katika serikari ya mapinduzi ZANZIBAR. Aliye fariki dunia mwezi wa APRIL mwaka huu. Kisomo hicho ya hitima kilifanyika OZONE PK, BROOKLYN, New York. Kisomo hicho kilikuwa kina ongozwa na ustaz AKIDA kuanzia kushoto ustaz ABAS , MASUD MAFTAH NA HAMZA MANDIA ambae hayuko kwenye picha, picha kwa hisani ya mwana blog ya jamii New York City, Ebra Ny.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...