Home
Unlabelled
WAZIRI MEMBE NDANI YA DIASPORA III LONDON SEHEMU YA II
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mheshimiwa. Hili suala la dual citizenship liko kwenye mchakato na kuna taasisi nyingi zinahusika. najua halijavuka popote wala kukubalika hata kwa mawaziri. Ni mapema mno kulizungumzia kwenye public. kuwa mpole kidogo.
ReplyDeleteNIMEFURAHI SANA MAELEZO YA WAZIRI WETU.
ReplyDeleteNILIONA PIA MAHOJIANO YA WAZIRI NA MTANGAZAJI KUTOKA READING.MAHUJIANO YALIKUWA MAZURI LAKINI KUNA MAKOSA YA MTANGAZAJI ANAONGEA KAMA NI MLEVI NAOMBA HUYO MTANGAZAJI ASIFANYE KAZI YA KUHOJI WATU MAANA NI KICHEFU CHEFU.
PILI KUOJI KUNAHITAJI UELEWA WA YULE ANAYEOJI ANATAKIWA KUJUA MATATIZO YALIYOPO TANZANIA KUMUOJI WAZIRI KWA FAIDA YA WATANZANIA WOTE SIO WACHACHE WA CHAMA FULANI AU KUJIPALIA SHAMBA KWA WATU WA READING.
MAONI SIKU MTU AKIJA KUTOKA TANZANIA KIONGOZI HATA WAZIRI MKUU RAIS NA WATU MASHUHURI WA TAIFA LETU AKIOJIWA NI LAZIMA MUOJAJI AWE ANAJUA HALI YA UCHUMI WA TANZANIA,AFYA,ELIMU,JAMII RUSHWA,UFISHADI NA MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA WALIPA KODI WA TANZANIA.
NAWAKILISHA MAONI YANGU NAOMBA MAJIBU
Ningependa kujibu mahojiano yako kama ulivyo omba Mr Franco. Nimeumbwa na mungu kama nakutia kichefu chefu si kosa langu itabidi ujijadili wewe mwenyewe ama ulichukue wala hilo kwa mungu ukamuulize kwanini ameumba kichefu chefu.
ReplyDeletePili nimekaa nchi hii muda mrefu nitakuwa mnafiki na limbukeni nikijifanya najua kila tatizo linaloendelea nyumbani, wengi wetu huku tubasikia tuu yanayoendelea nyumbani,
Kwa upande wa chama ama kwa watu wa Reading sijakuelewa unapoint gani hapo naomba unifafanulie.
Kwa upande wa kitaaluma sidhani kama kuna binaadamu anayeweza kuwa mtaalamu katika nyanja zote ulizo taja lakini kama yupo ama wewe unaweza kazi hii basi wasiliana nasi katika njia hizo chini ya ujumbe huu. Tutafurahi kama utaweza kuchukua jukumu hili ili tuendelee na project zingine kubwa zaidi. Hivyo basi tafadhali wasiliana nasi haraka iwezekanavyo kuna kazi hivi karibuni. Tunasubiri kusikia kutoka kwako.
PS: sijaelewa UFISHADI ni nini?
MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU TUBARIKI WATANZANIA
AHSANTE
BARAKA BARAKA
URBAN PULSE CREATIVE
urbanpulsecreative@googlemail.com
TANGU LINI MWANA HIP HOP AKAWA MUANDISHI WA HABARI?NYAMAZA KABISA MAANA HATUTAKI KUONGEA...KWANINI WATANZANIA HAMTAKI KUKUBALI MAKOSA YENU?UMESHAAMBIWA UKO OVYO UNAANZA KUPANDISHA HASIRA..KAFOKE FOKE KWENYE HIP HOP MAMBO MAKUBWA HUYAWEZI.NI HAYO TU,RUDI TENA SASA.
ReplyDelete_- Toa matangazo ya kazi kwa watu wote sio mimi FRANCO
ReplyDelete_-
Kila mtu ameumbwa ila ni mafunzo ya kutangaza ndio yatakufanya
utangaze inavyotakiwa.Mimi siwezi kumwoji mungu wangu kwa sauti
yako ni unahitaji mafunzo zaidi au mpe mtu mwingine ahoji watu
---_Kukaa sehemu muda mrefu sio tija inaonyesha unafanya kazi kwa kula
zimishwa au kazi ya ushikaji.Jukumu lako ni kutafuta habari nakuwa
na upeo wa mbali ili kuongeza tija katika ofisi uRBANPULSE creative
----- MWISHO urban pulse unatakiwa kusikiliza maoni ya watu na kuyakubali ndio utendaji sio kujiona mpo TZ mpo UK inamaanisha mna upeo mkubwa sana wa uelewa na kukubali maoni na kuyafanyia kazi,kama hamwezi basi fungeni ofisi mfanye kazi nyingine niliisha soma majibu ya mtu wa urban kujibu maoni kwa kaulichafu toka urban
LAKINI BALOZI ALIYEHAMIA USA KWENYE MKUTANO MMOJA WEMBLEY KULITOKEA UBISHI WA KUMCHAGUA MWENYEKITI WATU WA READING WAKAWA WANAPINGA SANA BALOZI AKAINGILIA KATI NA KUSEMA nyie watu wa ulaya nilitegemea ni wasomi sana sasa mnafanya mambo kama hamjasoma rais ametoa hela kwa ajili ya mkutano nyie mnataka mkutano usifanyike.KWAHIYO SIO WOTE WALIOKO ULAYA WAMESOMA WENGINE.JIBU KIUFASAHA WATU WANAOSOMA HAYA MAONI NI WENGI WATOTO,WAALIMU MADOKTA MAPROFESA
Msamehe huyu hakujui ulivyo. Mimi na Diaspora, hivi remittance yenu mbona ni kiwango ndogo mno ukilinganisha na mnavyojitutumua. Hamlipi kodi isipokuwa kwa nchi hizo mnazokaa. Suala la uraia wa nchi mbili, hivi binadamu ni kinyonga anayebadilika kulingana na mazingira? Diaspora ninyi kwanza mkirudi mnajiingiza kwenye siasa, hamjui tunaishije mnataka ku-paste kile mlicho-copy huko. Ninyi mkiamua kuwaoa waingereza ili kupata uraia haya ruksa lakini mtuachie nchi yetu Tanzania. Mdau wa Bradford
ReplyDelete