Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Profesa John Nkoma akitoa mada leo jijini Dar es salaam kuhusu sekta ya mawasiliano nchini Tanzania. Mkurugenzi Mkuu huyo alikuwa akitoa mada kwa wahariri wa vyombo vya habari hapa nchini ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Duniani ambapo mada kuu tekonolojia kwa maisha bora kwa jamii za vijijini.
Wahariri- Wahariri kutoka vyombo vya habari hapa nchini wakisikiliza mada kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Profesa John Nkoma (hayupo pichani ) leo jijini Dar es salaam juu ya historia ya sekta ya mawasiliano nchini.Picha na Tiganya Vincent - MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...