Kampuni ya Simu ya Airtel na Amis kwa pamoja wakizundua huduma ya mtandao kwa wakulima wa Tumbako mjini Morogoro,watatu kutoka kushoto ni Naibu katibu mkuu wa wizara ya kilimo,chakula na ushirika Engineer Mfutakamba pamoja na wadau wa tumbaku,airtel na Amis connect wakifurahia uzinduzi  rasmi wa huduma hiyo, ambapo ukitaka kupata taarifa ya tumbaku kwa kutumia mtandao wa Airtel pekee unapiga *154*45-alama ya reli.
Mkurugenzi mkuu wa  Bodi ya tumbaku bwana Frank Urio akiongea jambo na mgeni rasmi naibu katibu mkuu wa wizara ya kilimo,chakula na ushirika Engineer Mfutakamba wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya kupata taarifa kwa wakulima mjini Morogoro iliyoanzishwa na kampuni ya simu ya Airtel na Amis Connect mjini morogoro jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2011

    We should not be promoting tobacco at all.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...