Legend wa muziki wa AfroPop OLIVER 'TUKU' MTUKUDZI toka Zimbabwe atafanya onesho maalum na Malkia wa AfroPop LADY JAYDEE wa Tanzania.
Show hii special itafanyika Jumapili tarehe 19 June pale katika mgahawa wa NYUMBANI Lounge inayomilikiwa na Jide mwenyewe.
Viingilio ni 30,000 na 50,000 seat maalum pamoja na Dinner nzuri sana ya BBQ.
OLIVER Mtukudzi na Black Spirit Band kwa pamoja na LADY JAYDEE na Machozi Band show itaanza saa 2usiku mpaka saa 8usiku.
Kwa Booking mpigie Gardner G. Habash
+255 784 884007
Oliver 'Tuku'Mtukudzi -Todii



dah!itakuwa bonge la show,big up jide,thats why i lovu,my mother alikutabiria kuwa bonge la musician about 11 years ago when i was in form 1,mawenzi sec moshi,nyumba nzima ilikuwa inamfagilia jide(kumbuka machozi song),na mom akasema "huyu atakuja kuwa mwanamuziki maarufu tz" na kweli yametimia.too bad hayupo tena duniani kukupongeza jide.icitoshe namzimia sana mutukudz sinc long,nina cd zake kibao as well as zako jide.so ckukosea kukulike sinc long,keep it up 2po pamoko-says lucy
ReplyDeleteangalieni msituangushe kama aasekela. tayarisheni genereta na hoteli za wageni vyumba visafishwe. chekini genereta kama ziko fresh kuna time zinagoma
ReplyDelete