Nyota wa Chelsea kutoka Ivpry Coast Didier Drogba akiwa na mai wafu wake Lalla Diakite baada ya kumeremeta wikiendi ilopita huko Monaco, jirani na Ufaransa |
Sherehe za Drogba kumeremeta huko Monaco |
Safari ya kwenda kwenye mnuso baada ya kumeremeta |
Most read Swahili blog on earth
Nyota wa Chelsea kutoka Ivpry Coast Didier Drogba akiwa na mai wafu wake Lalla Diakite baada ya kumeremeta wikiendi ilopita huko Monaco, jirani na Ufaransa |
Sherehe za Drogba kumeremeta huko Monaco |
Safari ya kwenda kwenye mnuso baada ya kumeremeta |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Monaco pesa nyingi
ReplyDeleteDROGBA safi sana.....Hatua nzuri sana hiyo!
ReplyDeleteMtanzania halisi-Kwa BIBI!
Monaco imo ndani ya Ufaransa pamoja na kuwa ina utawala wa kifalme na serikali yake lakini bado kijiografia inatambulika iko France, ni kama vile Barcelona ipo ndani ya Spain na Vatican ipo ndani ya Italia.
ReplyDeleteMONACO JIRANI NA UFARANSA??? DAMNNNN
ReplyDeleteHabari hii hata Ivory Coast haijafika! Hongera Michuzi blog!
ReplyDeletehttp://abidjan.net/
Ila wajameni hiyo ndo harusi au happy basidei? mmhhhhhhhh?
ReplyDeletewe annon wa jumatano saa tisa za usiku...hiyo ni harusi,unazani wapo kwenu tanzania watu harusi wanafanya kufuru zisizo na faida...mwenzio ambasador huyo nchini kwake anasaidia yatima ,ana maoteli na hospitali anajua uchungu wa pesa na anajua nini kutokuwa na pesa na anajua jinsi ya kusadidia wasio nazo....ulitaka afanya harusi gani....thats a very simple wedding mate....na watu ndo wanavyofanya nchi za watu...sio kwenu hata kaubatizo mnakata ndafu .a.a.amjatulia huko kabisa..
ReplyDeletewangemualika huyo jamaa aliedata hapo kwenye video ya besdei ya joseph kusaga!
ReplyDeleteSimple wedding, yaani kanifurahisha sana. Kaalika wasanii wa Africa na wa nje na harusi yake nzuri sana isiyo na makuu. Ndoa zinazodumu hazina farasi na matangazo. Big up Didier.
ReplyDeleteHii ilitoka kwenye magazeti ya nje na hata picha.
ReplyDelete