Home
Unlabelled
exclusive: globu ya jamii yashuhudia ajali live usiku huu tabata, dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hao watu wanastahili kupewa hongera sana they are hero kwa kuokoa maisha ya watu. God bless them
ReplyDeleteEEEH MUNGU WANGU SHIDA HIZI ZA WAAFRICA MPAKA LINI TUANGALIE WANAO BABA,NIMEANGALIA HII MPAKA NASIKIA KULIA....MASKINI WATU WANAJARIBU KUWAOKOA WAJONGE WENZAO...IMENIUMA SANA KWA KWELI...ASANTE MUNGU KWA MAISHA YANGU SAA NYINGI UNALIA ILA KUNA WENZAKO WANALIA ZAIDI YAKO.
ReplyDeletetujivunie hali hii walioonyesha wandugu maskini bila hata malipo, mungu atawalipa wote kwa njia aijuayo yeye
ReplyDeleteHii video kweli inasikitisha jinsi watu walivyokusanyika bila msaada wowote kwa waliopatwa na ajali, polisi anaonekana akiongea na simu bila kutoa ushauri wowote, wapi ambulance au fire rescue walitakiwa wawepo hapo kutoa huduma ya kwanza, ona sasa gari limebebwa juu juu na majeruhi wamo ndani,hamna neno tutafika tu.
ReplyDeleteHiyo mitaro ilikuwa izibwe ili kuzuia ajali kama hizo. Ni saruji, mchanga, kokoto, maji, na harambee. Haina haja ya kusubiri wazungu, wakati wenye magari wanayalipia kodi kila mwaka.
ReplyDeleteAsie ! machozi yamentoka, AlhamduliLLAh waTanzania bado tuna uzalendo ! InshaALLAh awalipe wote walowaokoa wenzao! inasktisha police amekaa kuongea na simu sijui anaongea na nani na huenda hata hayupo kwenye tukio kiakli...
ReplyDeleteGod bless Tanzania and its people Amin
BONGO bwana yani hata AMBULANCE kuja sehemu ya tukio kuchukua MAJERUI hakuna.Nchi ya ajabu sana hii.Natoa pongezi kwa WASAMALIA wema wote waliojitolea kufanikisha zoezi zima la kuwaokoa hao ndugu zetu.MBARIKIWE SANA NA MUNGU AWAZIDISHIE ZAIDI PALE MLIPOPUNGUKIWA.
ReplyDeleteMTANZANIA HALISI-kwa BIBI
kaka michuzi inafaa uwapigie mbiu au upatu angalau hawa jamaa wapate vifaa vya kisasa kama walokua navyo wenzetu wa nchi za nje,kwasababu hali ninavyoiona kwa kweli inasikitisha sana watu wanarisk maisha yako kwa kuokoa wengine haya ni mambo ya kubahatisha,ongea michuzi na hawa viongozi ili wasaidie kuhusu hili kusema kweli naukumbuka ule usemi wa mzee wetu rukhsa Tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu.mchana mwema.
ReplyDeletedaah sijui nsirudi tena Tz daah inaskitisha aisee bt Mungu awalipe waliojitolea ...mda ambao hao watu wametolewa ht ambulance imeshindwa kufika daaah khatari kweli Africa tunaishi kwa kuhesabu siku tu duuuhhh...Allah atustiri inshaallah
ReplyDeleteRESCUE OPERATION: Ingawa nabeba boksi asavali nikae uku uku niongeze laifu ekisipetansi yangu!!
ReplyDeleteyaani hata sioni nianzie wapi...nadhani tatizo letu nikutokujua any better, yaani hapo watu wanasifiana kwa kazi nzuri , hawaulizi kodi zao zimeenda wapi instead of kulipia huduma kama za emergency..ambulance, fire rescue...hat mapolisi wanao kimbiza magari kila siku wakipita viongozi hapo walikuwa wapi, hii hali ya kuacha raia ambao hawajui wanachofanya kujichukulia hatua mkononi huku waliopewa dhamana ya huduma za jamii wakikaa kula kitimoto na bia its jus got to stop..waTanzania tunaonyesha moyo wakusaidiana ..but its time tuanze kuwauliza viongozi wetu the tough questions...watuambie ni ajali ngapi polisi walifika in reasonable time na walitoa msaada gani, ambulance ilifika baada ya muda gani na majeruhi walipata huduma gani.....jamani watanzania lets ask for our leaders accountability....au tutafika mahali nchi yetu tutaikimbia
ReplyDeleteAhsante Kaka Michuzi kwa video hii ambayo inastahiki kupewa tuzo maalum. Mie ni daktari nasomea Emergency Medicine hapa South Afrika. Video hii imenihamasisha kwamba nimalize haraka masomo yangu na kurudi huko nyumbani kusaidia katika harakati za kuunda huduma za dharura( Emergence Medical Services(EMS)) kama wenzetu huku. Naomba ruhusa yako Bro.Michuzi niitumie hii video kwenye kongamano la wadau wa emergency medicine katika nchi zinazoendelea kama kichocheo cha kupata msaada kwenye nyanja hii ya uokoaji.
ReplyDelete