Mshiriki Christina Wiliam amefanikiwa kutwaa taji la Voda Com Miss Iringa usiku huu katika ukumbi wa Highland mjini Iringa, huku Ritha Justine akishika nafasi ya pili , na Zay Mselemu akishika nafasi ya tatu wakati nafasi ya nne imekwenda kwa Happines James na ya tano imekwenda kwa Jackline Erick. Picha na Misanjo Livigha wa mtandao wa Francis Godwin
Home
Unlabelled
Just in: christina william atwaa taji la vodacom miss iringa usiku huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...