Rais Jakaya Kikwete (katikati) akishiriki kuimba wimbo wa Tanzania, Tanzania nakupenda, mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akilihutubia taifa leo mjini Dodoma kabla ya kutoa taarifa kwa umma kuhusu kukamilika kwa rasimu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ( 2011/12 - 2015/16) . Wengine ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) na kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nakala ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano, mwenyekiti wa kamati ya Uchumi na mipango ya Bunge Dr.Abdalah Kigoda muda mfupi baada ya kuuzindua katika ukumbi wa mikutano wa St.Gaspar Mjini Dodoma leo jioni
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akibofya laptop kuashiria kuzindua rasmi Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano(2011/12-2015/16) katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa St.Gaspar Mjini Dodoma leo jioni.(picha na Freddy Maro - Ikulu na TIGANYA VINCENT-MAELEZO)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...