Warembo 15 wanaowania taji la miss DAR INTER COLLEGE  kartika shindano litakalofanyika terehe 17 mwezi huuu katika  club mpya ya SANSIRO wanaanza kambi ya mzoezi tarehe 6 katika ukumbi wa BRAKE POINT jijini DSM.

 
Mratibu wa shindano hilo VICTORIA KIMARO amesema kuwa maandalizi yanaendelea mabpo warembo hao wataaanza kujifua nchini ya miss TANZANIA NAMBA 2 wa mwaka 2009 BEATRICE LUKINDO ambaye ni  mzoefu katika masuala ya urembo.
 
VICTORIA amesema kuwa mwaka huu, shinndano hilo litakuwa la iana yake kutokana na warembo waliojitokeza kushiriki kuwa katika ubora  wa hali ya juu.
 
Aidha VICTORIA amewaomba wadhamini zaidi kujitokeza kudhamini shindano hilo ambapo mrembo  ROSE JOHN ndiye anashikilia taji hilo. Amewataja wadhamini waliojitokeza ni pamoja na VODACOM,REDDS, NDEGE INSURANCE,MLIMANI MEDIA,CLOUDS TV,PARIS PUB na TRAVEL PARTNER,
 
Wasanii watakaotoa burudani watatangazwa hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...