Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2011

    hamna kitu cha kufanya chochote mnajidanganya

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2011

    Chagonja na Said Mwema wanahusika kunyanyasa upinzani

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2011

    itisheni maandamano nchi nzima?kelele za nn mmejilundika wanasheria kibao chadema mnafikiri ndio mtaachiwa?tunataka tumsikie na askofu nae aseme ili nguvu yetu ya umma itumike

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2011

    kuwashawizi watanzania wawaelewe ambao ni asilimia 10 tu kati ya watu milioni 43 ndio waliosoma siorahisi kukubaliana nanyi sheria lazima mfate msipo fata mtswekwa tu ndani na hakuna wa kuandamani nguvu ya uma ipo wapi sasa hapo msifikiri mnapendwa watu mnawakata na miandamano yenu isiyo na tija mmeona maandamano haya lipi mmeamua kugomea hata mahakama ili muonekane mnaonewa?hakuna sifa mbele ya serikali mtaumia tu kawekeni hoja bungeni muone itapita?subirini tu 2085 siombali mtaongoza tu tanzania

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2011

    mnyika kaka kuongea sana sio kuwa eti unajua sana na watu tutakuamini utaminiwa nahao tu wennzako mbona wanafunzi wa udsm sikuwaona maswahiba wako?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2011

    Hakuna aliye juu ya sheria. Kutokutii amri halali ya mahakama haina uhusiano wowote na ufisadi au siasa. Ni suala la mtu binafsi. Maana anayeshitakiwa hapo sio CHADEMA mbali ni Mbowe na hata akionekana ana hatiya na kufungwa, sio CHADEMA itakachofungwa. Je mbona akina Slaa na Godbless Lema walienda mahakamani na mambo yakaisha????????. Mbowe yeye yuko busy na kutumikia wananchi wakati unatakiwa uende mahakamni. Unakamatwa then unaanza kulalamika siasa, ufisadi, CCM, majungu, nguvu ya umma itumike, n.k. Jamani hata hiyo nguvu ya umma si itaingia hatiani bila tatizo. Mnyika anataka nguvu ya umma ikavamie kituo cha polisi?? Halafu wakipigwa risasi za moto?? Polisi wauaji?? Jamani tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuitisha nguvu ya umma. Itafikia wakati hata jambazi akikatwa kama ni mfuasi wa CHADEMA basi tutahamasisha nguvu ya umma kwenda kumtoa polisi. Je huo ndiyo utakuwa utawala wa sheria ambao CHADEMA inaupigania????? Tujitahidi kufuata sheria na kuepusha harassment zisizokuwa za lazima.
    Mdau

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2011

    chadema ni chama kinachotaka kuingia madarakani kwa nguvu....kila mtanzania anapenda maendeleo ya nchi...ila sio kwa njia hii wanayotaka kuitumia chadema... kama hapa kushinda vijimbo vichache tayari wamevimba kichwa kiasi cha kudharau mahakama je tukiwapa nchi si itakua balaa ...miaka mitano itaisha mtajikuta mmeishia kuandamana maandamano yasiyo na faida kwa mtu yeyote zaidi ya kusababisha vurugu na mauaji ya wananchi ....fuateni sheria za nchi wala sio mabavu...hatuwezi kuipoteza amani iliyopo tanzania ili tu eti hao wanaojiita chadema wawe madarakani....na bunge linatakiwa kujadili mambo ya msingi ya maendeleo sio kila siku mara chadema wamegoma mara wametoka nje mara wanagombania kuwa kambi rasmi ya upinzani mara wamepigana na polisi mara wanataka kupigana bungeni...hata kama CCM wana mapungufu yao ila sidhani kama chadema inafaa kuirithi CCM...naona mgawanyiko na vurugu kubwa tukiwapa madaraka chadema..kwa mtazamo wangu wameonyesha udhaifu mkubwa na jazba kuliko nilivyodhani mwanzoni....hasa katika kushindwa kufuata sheria
    mdau Korogwe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...