Waziri wa nchi ofisi ya Rais Utumishi wa umma na utawala bora Haji Omar Kheri akitoa hutuba ya Bajeti ya Wizara yake 2011/2012 katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwenyekiti wa kamati ya katiba,Sheria na Utawala bora Ismail Jussa Ladhu,akisoma hotuba ya makadirio na mapato na matumizi ya ofisi hiyo,katika baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mwakilishi wa jimbo la Mtambwe Salim Abdalla Hamadi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa nyaraka Hamadi Omar nje ya ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni(Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...