*Je, wayajua machungu ya albino Tanzania? Zijue mbinu wanazozitumia kukabiliana na changamoto anuai.
*Shibuda asema; CCM inauchakavu wa fikra. Wataka kujua zaidi ni ki-vipi?
*Wakulima wachoma moto nyumba 23 za wafugaji Sumbawanga.
*Je, wajua milioni 2.6 ya wapiga kura Zimbabwe ni feki?
*Wabunge wa CCM waibana Serikali kuhusu mgawo wa Umeme.
*Marekani yaionya Tanzania juu ya madhara ya Serengeti. Je, wataka kujua undani wa habari hizi, tembelea ‘gazeti’ la mtandao:- www.thehabari.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...