Mchakato wa kuwatafuta washiriki wa BONGO STAR SEARCH 2ND CHANCE umeanza na baadhi ya washiriki waliwahi kushiriki katika shindano hilo kwa miaka ya nyuma washajitokeza.
Kwa taarifa zaidi juu ya shindalo hilo na namna ya kuweza kumpigia kura mshiriki umtakae.tembelea libeneke la Bongo Star Search kwa link hii.
ilikuwa Big brother all stars, Tusker nayo, BSS nayo hahahah
ReplyDelete