ANKAL、
Nimekuta marsa nyingi kahawa aina ya kilimanjaro inauzwa hapa Japan kwenye vending machines, coffe shops na restaurant. Swali langu je Tanzania kama nchi inanufaika kweli na mapato yatokanayo na matumizi ya jina hili la kilimanjaro? 
Mdau wa  Jepu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2011

    Tanzania huuza kahawa yake katika soko la dunia. Japan hununua kahawa yao katika soko la dunia. Je tatizo lako nini? Au umeona kahawa ya Japan imewekwa kwenye mkebe mzuri! UK kahawa inayouzwa kwenye masupermarket ni ya Brazil na Kenya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...