Mkuu wa libeneke hujambo. 
Naomba uwawekee wana libeneke habari mpya. ni mtandao uitwao www.wasomi.info ambao unatoa habari za kielimu nchini. kupata taarifa za maduka ya vitabu yote Tz, Publishers wote, Shule za sekondari zote nchini (za serikali na binafsi), college zote za certificate na diploma (serikali na binafsi), vyuo vikuu vyote nchini. Pia mtandao unatoa rewards au zawadi kwa members ambao watasaidia kupata member wengine zaidi. Mungu akubariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...