Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga akizungumza na warembo wanaowania taji la Miss Dar Inter College wakati alipotembela kambi yao ya mazoezi jijini Dar es Salaam.  Kulia kwake ni Vodacom Miss Tanzania 2010 Genevive Mpangala na waandaaji. Warembo 16 watapanda jukwaani leo kuchuana kuwania taji hilo katika ukumbi wa Sun Cirro, Sinza, jijini Dar es Salaam leo usiku


Warembo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga wakati alipotembelea kambi yao. 

Waandaaji wa Shindano hilo, Angela Msangi na Vicky Kimaro wamesema kuwa maandalizi yote yamekamilika na kuwataka wakazi wa maeneo ya Sinza na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kwani kutakuwa na shoo kabambe kutoka kwa mwanamuziki wa bongo fleva, Dully Skyes.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...