Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2011

    Hivi tumesoma nini kama tunashindwa kutumia rasilimali tulizonazo? Kuna mataifa yana haki ya kumlalamikia mwenyezi mungu kwa kuwanyima mali asili. Pengine watanzania tumlalamikie kwa kutunyima akili na elimu. Mtu anayedanganywa kijinga namna hiyo ni mpumbavu na si vyepesi kumshawishi mwenye akili timamu kwamba amesoma. Sisi ni wapumbavu kwa sababu tumesoma ili tuweze kuona mbali zaidi kwa kusaini mikataba na mambo yote kwa kuangalia maslahi yetu ya leo, kesho na kwa vizazi vijavyo. Kwa vile ni wajinga ndiyo maana tunauza mali zetu kama mazuzu tunabadilisha pipi na nyumba. Ebu angalia wabunge wetu kug'ang'ania posho ambazo wakati mwingine zinalipwa na wafadhili japo kwa kuiigiza nchi kwenye umaskini mkubwa zaidi mfano kuchimba dhahabu kwa bei karibu na bure. Tuwabaini wote wanohusika na mikataba ya namna hiyo na kuwahukumu hapa hapa duniani. Cartoon hiyo ni summary nzuri kuonyesha tunavyoendesha mambo yetu kizuzuzuzu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2011

    Hata huyo mchora katuni akiambiwa akiweka mkataba atapata 10% hayo aliyosema hapo ndio atakayoyafanya. Hiyo ndio TZ. Wengi ni fisadi. Akila pekee yake tu ndio mbaya lakini akila na wenziwe hakuna ubaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...