Magari mbali mbali likiwemo lile la kubeba wagonjwa yakipita katika makutano ya barabara ya umoja wa mataifa na mtaa wa Kalenga Upanga ambapo siku kadhaa zilizopita eneo hili lililokuwa na mashimozz ya kutisha yaliyokuwa yakisababisha msongamano mkubwa sana wa magari ambayo yaliyokuwa yakipita eneo hilo.hali hiyo ilikuwa ikiwapa shida sana madereva wa magari ya kubeba wagonjwa waliokuwa wakiwahishwa hopitali kuu ya taifa ya Muhimbili,lakini kwa sasa mambo yako poa na wanapeta kama kama.
Home
Unlabelled
mashimozz ya upanga sasa kwishneiiiiii.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Angalia maji yalivyotuama pande zote mbili za barabara. Ni muda mfupi tu hayo mashimo yatarudi kama kawaida. Sijui tatizo ni taaluma ndogo, kutojali, uzembe au nini? Tatizo linapaswa kuangaliwa kwa upana zaidi na kupewa ufumbuzi wa kudumu. Wabongo!!!!?
ReplyDeletekaka chonde chonde tusifie vibovu.....hapo wamefukia tu maana unaona kabisa maji yanatwama. Sijui kwa nini nchi yetu watu hatuoni zaidi ya pua zetu. Umeme viraka, barabara viraka. kama wahenga wasemavyo ukificha ugonjwa kifo kitakuumbua!!... Tuwe tunatafuta ufumbuzi na sio kufunika.
ReplyDeleteSwali kwa nini hii sehemu huwa na mashimo?! kwa nini maji yametwama/yanatwama hapo?! Tukiyajibu kwa ukamilifu ndio tufanye suluhisho la tatizo sio funika kikombe mgeni apite!!(Nahisi methali nimekosea lakini)
Mzawa
afadhali walivyoyaziba cz 2likua 2napata shida kweli cc wakaz wa upanga 2nao2mia hiyo barabara.
ReplyDeleteUnasitahili pongezi Mr Michuzi kwa kazi hii nzuri! ulitoa angalizo na likafanyiwa kazi! keep up!
ReplyDeleteJambo, asante kwa taarifa hii maana ningeweza pitiliza, tumeyazoea kiasi tukadhani ndo alama ya barabarani. just a joke. bado pale geti la kutoka ukimaliza shughuli ndani ya muhimbili hosipitali
ReplyDeleteHapo ndio naona mchango mkubwa wa globu. Hizi barabara zimeanza kutengenezwa siku mbili baada ya Blogu ya Jamii na ya Mtaa kwa Mtaa kutoa picha kibao za keep left na barabara za chini kwa chini zilizokuwa zinasubiri ufunguzi rasmi. Naona baada ya kusoma blogu kilitolewa kimemo maana barabara zote zikaanza kushambuliwa kwa mpigo. Blogu za Jamii oyeeee!!
ReplyDeleteMji wa dar ni mchafu kwa kweli, sasa hapo uki imagine ndio sijuie Upanga or whatever na ni kati ya maeneo maarufu na yanayoheshika Tz lakini hali ya usafi hairidhishi kabisa. Basi serikali ni bora ikatafuta mwekezaji wa kutusafishia kamji ketu ka dari salama.Dar ni mji mdogo sana lakini sijui kwanini usafi wake ni mgumu au ni tabia yetu ya kuwa friendly na uchafu.
ReplyDeleteTanzania Kiboko, ulizia Nyumba maeneo hayo sio chini ya $150,000.00 CASH. Maeneo machafu, mabomba ya maji machAfu yana bubujika hapo,umeme wa mgao, maji ya mgao n.k.HALAFU PELEKA MKAGUZI WA MAHESABU SHIRIKA LA NYUMBA NA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM UONE.
ReplyDelete