Mratibu wa shirika la TANIPE, Edward Tunyon kushoto akisimama na Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha-Rose Migiro alipomtembela ofisini kwake New York hivi karibuni, kulia ni Pour Urio kutoka shirika la UCRT Arusha.
Edward Tunyon Mratibu TANIPE na Delly Sambo katikati Mjumbe wa Permanent forum on the right of Indigenous Issue katika Umoja wa Mataifa akiongea na waandishi wa Habari hivi karibu.
Edward Tunyon Program Coordinator akiongea na wandishi wa habari wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ukikwaji wa haki za binadamu Africa hivi karibuni.
Edward Tunyon kushoto wa TANIPE Morogoro na Edward Porokwa wa PINGOs Arusha wakifuatilia kwa makini kikao cha UNPFII ikiendelea makao makuu ya umoja wa mataifa Jijini New York hivi karibuni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...