Afisa Uhusiano wa Kampuni ya MeTL ambaye pia ni msaidizi wa Mh. Mohammed Dewji (Mb) Bi.  Esther Dotto akikabidhi mchango katoni 42 za maji safi ya kunywa ‘ MAISHA’ yanayotengenezwa na Kampuni ya A-ONE Products and Bottlers ambayo ni moja ya makampuni ya MeTL kwa Mkurugenzi wa Radio One Deogratius Rweyunga kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na Kati yatakayofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 3-4 June, 2011.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2011

    Hao jamaa hapo kati mbona macho yao wote yapo kifuani mwa mdada, kuna nini hapo kifuani?

    Dakta

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2011

    ebu tuheshimiane, huo mchango wa jina kubwa kiasi gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...