HABARI ZA YAKO KAKA, POLE NA MAJUKUMU YA KAZI, NAOMBA MSAADA  WAKO UWEZE KUNITANGAZIA PASPOTI YANGU KATIKA GLOBU YA JAMII.

JINA LANGU NI JUMA TINGATINGA MWAYONGA NAISHI MABIBO MKOA WA DAR ES SALAAM, NIMEPOTEZA PASPOTI YA KUSAFIRIA YENYE NA AB 045876 KATIKA MAENEO YA MANZESE.

TAFADHALI NINAOMBA YEYOTE AKAYEIONA ANISAIDIE. NAPATIKANA KATIKA NAMBA ZIFUATAZO:

0659 473284.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2011

    POLE SANA KWA KUPOTEZA PASS.NAKUSHAURI USIHANGAIKE SANA NA ONLINE MEANS.NJIA RAHISI NI KWENDA MAENEO ULIYOPOTEZA HIYO KITU TANGAZA DAU KWA VIJANA WATAKUFANYIA HIYO KAZI.VINGINEVO NI NGUMU MBONGO WA KAWAIDA TENA WA PALE MANZESE KUWA NA ACCESS YA MTANDAO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2011

    Huyo jamaa wa kwanza alichokiongea ni FACT kabisa. Lakini jambo la kwanza kufanya unatakiwa kuripoti polisi kuhusiana na upotevu wa huo passport. Halafu baada ya hapo sasa uendelee na mkakati wako wa kuitafuta. Ushauri wa huyo jamaa wa kwanza ni muhimu sana. Ufuatilie, utafanikiwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2011

    Mdau acha uongo hujapoteza bali umeibiwa! si uwe tu mkweli ili upate msaada? Fika pale kijiweni kwa Bakhera utoe taarifa kwa vijana wa pale then utoe OFA utakayotoa ukiletewa unaacha na namba yako simu baada unapigiwa simu kuwa imepatikana! Ole wako uje na longolongo au na polisi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...