Home
Unlabelled
NAPE NNAUYE ALIPOKUTANA NA WANABLOGU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwandishi/mwanablog ambae unasema wewe ni mkereketwa wa CCM unaetokea mororgoro sijapenda lugha yako uliotumia kwa kumwita mkuu wa msafara wa mwenge mpemba, unamaanisha nini ? kwani ungesema mkimbiza mwenge pekee isingetosha mpaka useme mpemba sio lunga nzuri hio ,imekaa kibaguzi sema jina lake inatosha tu
ReplyDeletemhh...mbona hata sielewi mheshimiwa katibu anachojaribu kuelezea.Anaelezea sera au utendaji,make naona kama vile kuna mkanganyiko wa vitu vingi...
ReplyDeleteInawezekana wenzangu wamemuelewa
ya angalau tunaona damu mpya kwenye hii CCM. Ilikua kila siku wazee tuuu. huyu jamaa naona ana mtazamo wa kimapinduzi
ReplyDeleteMeneono anayoyasema nape sidhani kama yatakuwa rahisi kuyatendea kazi maana yanahitaji kujitoa muhanga sijui kamayupo tayari kivitendo kujitoa muhanga ili kuyatendea kazi anayoyasema.
ReplyDelete