HABARI ZIMETUFIKIA MUDA HUU KWAMBA MJINI DODOMA KUNA RABSHA KATI YA WANAFUNZI WA UDOM WA KITIVO  CHA SAYANSI YA JAMII NA ASKARI POLISI AMBAO INASEMEKANA WAMEWEKA ULINZI KUWAZUIA WASIKARIBIE JENGO LA BUNGE AMBAKO WAMEENDA KWA NIA YA KUTAKA KUTOA MALALAMIKO YAO YA KUFUTWA KWA MAZOEZI KWA VITENDO (FIELD)  HALI ILIYOPELEKEA WAO KUGOMA KUINGIA MADARASANI. 


TUNAFUATILIA MATUKIO HAYA NASI KAMA 
LILIVYO ADA  TUTAWAJULISHA KADRI YATAKAVYOTUFIKIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2011

    Kaka Michuzi Hali ilikua ni tete lakini ilikua ina sisimua kama Wanafunzi Na Askari wanaigiza filamu za action maana Askari wakienda Kushoto wanafunzi Wanaenda Kulia Wakija Kulia Tunaingia Kushoto Na Askari Tumewapiga Chenga Ya Mwili Na Tumewazidi Maarifa Wakati wenye wakiwa wamejiandaa asubuhi na mapema kuzuia Wanafunzi tusiingie mjini walikaa barabara kuu ambapo wanafunzi tuliingia na Mbinu za kiinteligensia Na Kupita njia za mikato ambapo waliambulia patupu kuja kushtuka wanaambiwa wanafunzi wameshafika nyerere square ilikua kama filamu hivi lakini kwa habari zaidi najua kuna kijana wetu ameshatupia mzigo na stori nzima ya habari hiyo ilivyokua unaweza bofya link hapo ukachungulia hapo

    http://josephatlukaza.blogspot.com/2011/06/just-in-udom-wawazidi-maarifa-askari.html

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...