Baada ya uzinduzi wa PesaFasta jijini Dar  wiki iliyopita ale Coco Beach na kujaza watu pomoni, NMB imepeleka promosheni ya NMB PesaFasta jijini Mwanza ambako nako wakazi wa Rock City  walijaa kwa mamia kushuhudia promosheni ya NMB PesaFasta mkoani humo.  Baada ya Dar na Mwanza promosheni ya NMB PesaFasta itapelekwa Arusha, Mbeya na Dodoma. 

Mshabiki kawavamia Juma nature na KR waliokuwa wakikushusha burudani iliyoshiba kwenye promosheniya NMB PesaFasta jijini Mwanza.

Faraji T maarufu kama Sajna na Josefly walikuwepo kutoa burudani nzito. Sajna anavuma na wimbo wake wa Iveta.

Umati wa wakazi wa Mwanza  ukishuhudia.
NMB PesaFasta ni huduma inayomwezesha mteja wa NMB mobile kumtumia ndugu au jamaa ambaye hana akaunti ya fedha. Na ili kuchukua fedha ulizotumiwa unaenda kwenye ATM yeyote katiya zaidi ya 400 za NMB nakuchukua fedha zilizotumwa bila ya kuwa na akaunti wala ATM kadi ya NMB.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...