 |
| Rais mstaafu wa Ujerumani Dkt Helmut Kohl akikaribishwa na Bi. Rosemary Mwakitwange kwenye mkutano wa kuzungumzia mstakabali wa maendeleo nchini katika hoteli ya Movenpik jijini Dar. Mkutano uliandaliwa na taasisi ya maendeleo ya Ujerumani ya Konrad Adenauer Siftung |
 |
| Rais Mstaafu wa Ujerumani Dkt. Horst Kohler akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ambao wamehudhuria mkutano huo hoteli ya Movenpik jijini Dar |
 |
| Dkt. Horst Kohler akiongea na mratibu wa mkutano huo Bi Rosemary Mwakitwange |
 |
| Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndullu akiongea kwenye mkutano huo |
 |
| Sehemu ya wadau waliohudhuria mkutanoni |
Wageni waliohudhuria mkutanoni
 |
Viongozi wa dini na wa siasa walikuwepo mkutanoni.
Picha na Bakari Mwankufi wa Globu ya Jamii
PS: Samahani wadau kwa ulimi kuteleza. Jina ni Horst Kohler na sio Helmut Kohl kama ilivoandikwa awali. Asante wadau kwa umakini na kutustua
-Michuzi |
Samahani lakini huyo siyo Helmut Kohl, pia Kohl hakuwahi kuwa Rais wa Ujerumani bali alikuwa Chancellor. Huyo bwana ni Horst Köhler ambaye ni kweli alikuwa Rais wa Ujerumani na vilevile aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa IMF.
ReplyDeleteSafi kabisa. Helmut Kohl aikuwa Chancellor ( read Waziri Mkuu ), mtemi wa kihafidhina ( conservative) ambaye kamwe asingethubutu kuhudhuria mikutano ya aina hii Tanzania!!! Helmut was the driving force for German Unification and the Current EU. Tafadhali check facts kabla ya ku post
ReplyDeleteAhsante mdau hapo juu kwa kukosoa, make hata mimi nilishangaa Helmut Kohl hafanani hivi.... Ni kweli huyo jamaa juu ni Horst Kohler. I guess brother Mithupu atarekebisha kosa
ReplyDelete