![]() |
Marehemu Edgar Kileke enzi za uhai wake |
Ndugu, Jamaa, na Marafiki, Watanzania wote:
Tunapenda kuwa taarifu kwamba mazishi ya ndugu yetu marehemu Edgar Kileke (Kaka Dick) yatafanyika:
JUMATANO Tarehe 29 June 2011
IBADA ITAFANYIKA:
LEICESTER CENTRAL SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH
LONDON ROAD
LE2 1EF
LEICESTER
MUDA: SAA NNE KAMILI ASUBUHI (10AM)
MAZIISH YATAFNYIKA: GILROES CEMETRY
Na baada ya mazishi kutakuwa na huduma ndogo kwa wafiwa yaku toa shukurani:
85 STEVENSON DRIVE
LE3 9AD
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na:
NDUGU Assa Ali 07951644936
au
Fauzia Musa 07943962628
R.I.P EDGAR
Be Cheerful! GOD loves you more than you'll ever know!
NAWAPA POLE SANA NDUGU ZA MAREHEMU EDGAR, AMBAYE ANAZIKWA HIVI KARIBUNI. JAMANI KIFO KINAUMA SANA. NI JUZI TU JUMAMOSI TUMETOKA KUMZIKA PROF.ALFEO NIKUNDIWE MAUYA AMBAYE ALIKUWA ANAFANYA KAZI UDSM.
ReplyDeleteIMETUUMA KUONA KWAMBA ALIKUWA NA MAJUKUMU MAKUBWA KUWAFUNDISHA WANAFUNZI WAKE. LAKINI AMEKUFA NA HAYUPO TENA DUNIANI. SASA LEO HII SAA HIZI NASOMA TENA MSABATO MWINGINE AMEKUFA LONDON, INAUMA JAMANI ILA USHAURI WANGU SISI TULIOBAKI NI HUU: WOTE HATUJUI KILA MMOJA WETU NI LINI MAISHA YETU YATAKOMA, HIVYO NI MUHIMU TUJIANDAE KILA SIKU KWA SALA NA MAOMBI ILI BWANA ATUTAYARISHE NA KUTUKUMBUSHA KUZIHESABU SIKU ZETU HAPA DUNIANI. POLENI SANA KWA MARA NYINGINE NDUGU ZANGU WA IMANI MOJA NA MARAFIKI WOTE AMBAO MNASHUGHULIKA KUMUANDAA NDUHU YETU NA KAKA YETU KUMPELEKA KATIKA NYUMBA YAKE YA MUDA SIYO YA MILELE, MAANA TUNAAMINI YESU ANARUDI HIVI KARIBUNI NA ATAWAAMSHA WAFU WALIO LALA KATIKA KRISTO WATAFUFULIWA.
AMINA
R.i.p father
ReplyDelete