Kiongozi wa msafara wa timu ya taifa ya Tanzania, Samweli Nyala (wa tatu kushoto) akipokea bendera ya taifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu wakati wa kuiaga timu hiyo ambayo inatarajiwa kuondoka alfajili ya tarehe juni 3 kwenda Afrika ya Kati kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (CAN) mchezo utakaochezwa siku ya jumapili Juni 5 ambapo fainali zake zitafanyika mwakani nchini Equtoria Guinea na Gabon. Wanaoshuhudia ni Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jan Poulsen na nahodha wa stars Shandrack Nsajigwa.
Taifa Stars maoezini




Go go stars.Msiposhinda mechi hii ndiyo mwisho hapo.Tunabakiza waarabu algeria(Dar) na Morocco(Rabat?).
ReplyDeleteKuna Vurugu za kidini jijini Bangui tangu juzi :Tunaomba serikali yetu iwe karibu sana na msafara huu.Na msafara wenyewe kuchukua tahadhari muhimu
David V