Waandaaji wa Tamasha la Nyama Choma jijini Dar,toka shoto ni Carol Ndosi,Della Ndosi na rafiki yao Omega Assey wakishoo lavu kwa pamoja wakati Tamasha hilo likiendelea katika viwanja vya Posta,Kijitonyama mchana wa leo.
Wakuu wa Kazi Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa www.bongocelebrity.com Jeff Msangi na shoto ni Dj Bonny Lov wakiwakilisha ndani ya Tamasha la Nyama Choma katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, jijini Dar, mchana wa leo.
Mastelingi katika sekta ya uchomaji Nyama wako makini na kazi yao ili kuhakikisha kila mtu anapata kitu roho inapenda.kwa picha zaidi za Tamasha hilo.
BOFYA HAPA
BOFYA HAPA



Ni mwendo wa kukata nyama kwa kwenda mbele.
dah!limefana fresh,ila ni wenye nazo ndo wanafaidi2, thats why i hate tz,huthaminiwi bila ki2,anyway soon ntatimua zangu,tuwaachie wenye nchi yao wafaidike
ReplyDeleteumenichekesha anony wa 10.40am,eti soon utatimua zako. na ukitimua ukaenda kiwanja napo utaona huthaminiwi manake kuna kitu kinaitwa racism!! hahaha, utakuja kutuambia hapa kuhusu mamtoni kama ndo unakotaka kutimkia.
ReplyDelete