Wachezaji wa timu ya Ulinzi ya Kenya ( jezi nyekudu) wakijipanga kuondosha hatari langoni mwao na kuwadhibiti washambuliaji wa timu ya Soka ya St: George ya Ethiopia ( jezi za njano) katika mchezo wa mashinsano ya kombe la kagame uliofanyika Juni 28, mwaka huu kwenye uwanja wa Jamhuri wa Mjini hapa, timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1.

 Beki wa timu ya soka ya Ulinzi ya Kenya ( jezi namba 2 kulia) , Geoffrey Kokoyo akichuana na shambauliaji wa timu ya St George ya Ethiopia ( jezi njano),Atthony Bongole , katika mchezo wa mashindano ya kombe la Kagame , kituo cha Morogoro 
Kikosi cha timu ya Soka ya St George ya Ethiopia katia  mashindano ya kombe la Kagame kituo cha Morogoro kabla ya mechi ya leo

Kikosi cha timu ya Soka ya Ulinzi ya Kenya ,inayoshiriki mashindano ya kombe la Kagame , kituo cha Morogoro kabla ya kuvaana na wapinzani wao timu ya St George ya Ethiopia

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu, akisalimiana na mchezaji wa timu ya soka ya Ulinzi ya Kenya , Geoffrey Kokoyo ,kabla ya kuanza mchezo kati yao na timu ya soka ya St: George ya nchini Ethiopia , katika mashindano ya Kombe la Kagame, kituo cha Morogoro , hata hivyo timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1. Picha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...