Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole- Mideye kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Magharibi na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole- Mideye kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...